Ufafanuzi wa jongonene katika Kiswahili

jongonene

nomino

  • 1

    aina ya mshono wa mkunjo wa uzi.

Matamshi

jongonene

/ʄɔngɔnɛnɛ/