Ufafanuzi wa jopo katika Kiswahili

jopo

nominoPlural majopo

  • 1

    kikundi cha watu waliokusanyika pamoja ili kufanya kazi maalumu.

    ‘Jopo la kamusi’
    ‘Jopo la majaji’
    paneli

Matamshi

jopo

/ʄɔpɔ/