Ufafanuzi wa jora katika Kiswahili

jora

nominoPlural majora

  • 1

    bunda la kitambaa lenye urefu wa mita 27.

    ‘Mtumba wa majora’

Asili

Khi

Matamshi

jora

/ʄɔra/