Ufafanuzi wa joto katika Kiswahili

joto

nomino

  • 1

    hali ya kuhisi motomoto mwilini.

  • 2

    mwako, fukuto, harara, jekejeke

Matamshi

joto

/ʄɔtɔ/