Ufafanuzi wa joya katika Kiswahili

joya

nominoPlural joya

  • 1

    nyama nyororo nyeupe inayoota ndani ya nazi inapotaka kuota, pengine hujaza kifuu.

    ‘Joya ya nazi’
    ‘Nyororo’

Matamshi

joya

/ʄɔja/