Ufafanuzi msingi wa jua katika Kiswahili

: jua1jua2

jua1

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liwa, ~vya, ~za

Matamshi

jua

/ʄuwa/

Ufafanuzi msingi wa jua katika Kiswahili

: jua1jua2

jua2

nomino

  • 1

    gimba kubwa lenye nuru kali lililoko angani ambalo hutoa mwanga na joto.

    ‘Jua kali’

Matamshi

jua

/ʄuwa/