Ufafanuzi wa judo katika Kiswahili

judo

nominoPlural judo

  • 1

    mchezo wa kupigana miereka na kujihami ambapo mchezaji hujaribu kumwangusha mpinzani wake.

Asili

Kjp

Matamshi

judo

/ʄudɔ/