Ufafanuzi wa juhudi katika Kiswahili

juhudi

nominoPlural juhudi

  • 1

    hali ya kutumia uwezo na nguvu za mtu katika kukamilisha jambo.

    bidii, kasi, jitihada, idili, nguvu

  • 2

    kazi ya bidii au ya nguvu.

Asili

Kar

Matamshi

juhudi

/ʄuhudi/