Ufafanuzi wa juisi katika Kiswahili

juisi

nomino

  • 1

    maji ya matunda yaliyokamuliwa ambayo si kileo.

Asili

Kng

Matamshi

juisi

/Ê„uIsi/