Ufafanuzi wa jukwaa katika Kiswahili

jukwaa

nomino

  • 1

    sehemu iliyoinuliwa ndani ya jengo kubwa au katika uwanja, agh. hutumika kuonyeshea michezo au kutolea hotuba.

    bao

Matamshi

jukwaa

/Ę„ukwa:/