Ufafanuzi wa juma katika Kiswahili

juma

nomino

  • 1

    jumla ya siku saba.

    wiki

Asili

Kar

Matamshi

juma

/Ê„uma/