Ufafanuzi wa Jumanne katika Kiswahili

Jumanne

nomino

  • 1

    siku ya nne ya juma kuanzia Jumamosi.

Matamshi

Jumanne

/ʄuman nɛ/