Ufafanuzi wa jumbereru katika Kiswahili

jumbereru

nomino

  • 1

    samaki wa jamii ya bumbura.

Asili

Khi

Matamshi

jumbereru

/ʄumbɛrɛru/