Ufafanuzi msingi wa jumu katika Kiswahili

: jumu1jumu2

jumu1

nominoPlural majumu

  • 1

    kapu kubwa ambalo halikusukwa vizuri na matumizi yake mara nyingi si ya muda mrefu sana; kapu la kawaida.

Matamshi

jumu

/ʄumu/

Ufafanuzi msingi wa jumu katika Kiswahili

: jumu1jumu2

jumu2

nominoPlural majumu

  • 1

    aina ya kisu kikubwa.

Matamshi

jumu

/ʄumu/