Ufafanuzi wa jumuia katika Kiswahili

jumuia, jumuiya

nomino

  • 1

    mkusanyiko au mkutano wa watu.

    ushirika, chama, kaumu

Asili

Kar