Ufafanuzi wa jumuika katika Kiswahili

jumuika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa pamoja na watu wengine.

Matamshi

jumuika

/Ę„umuIka/