Ufafanuzi msingi wa jupita katika Kiswahili

: jupita1Jupita2

jupita1

nomino

  • 1

    sayari iliyo kubwa kuliko nyingine zote.

Asili

Kng

Matamshi

jupita

/ʄupita/

Ufafanuzi msingi wa jupita katika Kiswahili

: jupita1Jupita2

Jupita2

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    mungu mkuu wa Warumi.

Asili

Kng

Matamshi

Jupita

/ʄupita/