Ufafanuzi wa juta katika Kiswahili

juta

kitenzi sielekezi

  • 1

    ona huzuni au sikitika kwa ajili ya jambo baya ulilolifanya.

    tubu

Matamshi

juta

/ʄuta/