Ufafanuzi wa juya katika Kiswahili

juya

nominoPlural majuya

  • 1

    mtego wa samaki wenye kamba na tapo.

Asili

Kar

Matamshi

juya

/ʄuja/