Ufafanuzi wa juzi katika Kiswahili

juzi

nominoPlural juzi

  • 1

    siku iliyotangulia jana.

  • 2

    siku zilizopita; zamani kidogo; kabla ya siku chache; hivi karibuni.

Matamshi

juzi

/ʄuzi/