Ufafanuzi wa juzi juzi katika Kiswahili

juzi juzi

kielezi

  • 1

    siku chache zilizopita; hivi karibuni.

Matamshi

juzi juzi

/ʄuzi ʄuzi/