Ufafanuzi wa juzuu katika Kiswahili

juzuu

nominoPlural juzuu

  • 1

    sehemu mojawapo ya sehemu 30 za Kurani Tukufu.

  • 2

    mojawapo ya seti za kitabu kimoja.

    ‘Juzuu ya 50 ya jarida la Kiswahili’

Asili

Kar

Matamshi

juzuu

/ʄuzu:/