Ufafanuzi wa kababu katika Kiswahili

kababu

nomino

  • 1

    nyama iliyosagwa na kukaangwa, yenye umbo la mviringo au duaradufu.

Asili

Khi

Matamshi

kababu

/kababu/