Ufafanuzi wa kabari katika Kiswahili

kabari

nominoPlural kabari

  • 1

    kipande cha mti au chuma cha kupasulia mbao au mti.

    chembeo

Asili

Kar

Matamshi

kabari

/kabari/