Ufafanuzi wa kabichi katika Kiswahili

kabichi, kabeji

nominoPlural kabichi

  • 1

    mboga ya majani ya kijani na meupemeupe au zambarau yanayojiviringisha duara na kufanya umbo kama la boga.

Asili

Kng

Matamshi

kabichi

/kabitʃi/