Ufafanuzi wa kabila katika Kiswahili

kabila

nominoPlural makabila

  • 1

    kikundi cha watu wanaohusiana kwa lugha, mila, desturi na utamaduni.

  • 2

    jamii ya watu au vitu vya aina moja.

    mbari

Matamshi

kabila

/kabila/