Ufafanuzi msingi wa kabili katika Kiswahili

: kabili1kabili2kabili3kabili4

kabili1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  tokeza kwa mbele ya kitu au mtu ili kupambana nacho/naye; tazamana na.

  ‘Mahali palipokabili upepo’
  elekea

 • 2

  tokeza kwa ujasiri, agh. kwa kupambana na kitu au mtu.

  ‘Kabili maadui’
  ‘Hatuwezi kuikabili bahari ile’
  ‘Kabili uso kwa uso’
  chegama

Asili

Kar

Matamshi

kabili

/kabili/

Ufafanuzi msingi wa kabili katika Kiswahili

: kabili1kabili2kabili3kabili4

kabili2

nominoPlural kabili

 • 1

  mpiga zumari.

Matamshi

kabili

/kabili/

Ufafanuzi msingi wa kabili katika Kiswahili

: kabili1kabili2kabili3kabili4

kabili3

nominoPlural kabili

 • 1

  mtu mwenye uwezo.

  hodari

Matamshi

kabili

/kabili/

Ufafanuzi msingi wa kabili katika Kiswahili

: kabili1kabili2kabili3kabili4

kabili4

kivumishi

 • 1

  -enye uwezo na uhodari.

Matamshi

kabili

/kabili/