Ufafanuzi wa kabilisha katika Kiswahili

kabilisha

kitenzi elekezi

  • 1

    leta mbele ya hadhara.

    ‘Kabilisha nyaraka’

Asili

Kar

Matamshi

kabilisha

/kabiliʃa/