Ufafanuzi wa kabohaidrati katika Kiswahili

kabohaidrati

nominoPlural kabohaidrati

  • 1

    muungano kamili wa gesi za kaboni, hidrojeni na oksijeni ambao hupatikana katika vyakula k.v. sukari, unga, mbatata na muhogo.

Asili

Kng

Matamshi

kabohaidrati

/kabOhajidrati/