Ufafanuzi msingi wa kaboni katika Kiswahili

: kaboni1kaboni2

kaboni1

nominoPlural kaboni

  • 1

    madini meusi yaliyo laini na yanayotumiwa kutengenezea risasi k.v. ya kalamu.

  • 2

    aina ya kemikali iliyo katika almasi, makaa, dayoksaidi ya kaboni na vitu vyote vyenye uhai.

Asili

Kng

Matamshi

kaboni

/kabOni/

Ufafanuzi msingi wa kaboni katika Kiswahili

: kaboni1kaboni2

kaboni2

nominoPlural kaboni

  • 1

    karatasi, agh. nyeusi au ya buluu, inayowekwa kati ya karatasi mbili ili kunakili wakati wa kuandika.

Asili

Kng

Matamshi

kaboni

/kabOni/