Ufafanuzi wa kabonimonoksaidi katika Kiswahili

kabonimonoksaidi

nominoPlural kabonimonoksaidi

  • 1

    hewa ambayo ni sumu isiyokuwa na rangi au harufu, ambayo huzalishwa na injini k.v. za magari.

Asili

Kng

Matamshi

kabonimonoksaidi

/kabOnimOnOksaIdi/