Ufafanuzi wa kabumbu katika Kiswahili

kabumbu

nominoPlural kabumbu

  • 1

    mchezo wa mpira wa miguu.

    kandanda, soka, gozi

Matamshi

kabumbu

/kabumbu/