Ufafanuzi wa kacha! katika Kiswahili

kacha!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumika kutilia mkazo maelezo ya sauti ya kuanguka kwa kitu chepesi.

    ‘Kimeanguka kacha’

Matamshi

kacha!

/kat∫a/