Ufafanuzi wa kachero katika Kiswahili

kachero

nominoPlural makachero

  • 1

    mtu anayechungua habari za mtu au watu kwa sababu fulani.

  • 2

    askari kanzu.

    mpelelezi

Matamshi

kachero

/kat∫ɛrO/