Ufafanuzi wa kadeti katika Kiswahili

kadeti

nominoPlural kadeti

  • 1

    mwanafunzi katika shule ya maofisa wa jeshi.

Asili

Kng

Matamshi

kadeti

/kadɛti/