Ufafanuzi msingi wa kadha katika Kiswahili

: kadha1kadha2

kadha1

nominoPlural kadha

 • 1

  kisio la idadi ya watu au vitu.

Asili

Kar

Matamshi

kadha

/kaDa/

Ufafanuzi msingi wa kadha katika Kiswahili

: kadha1kadha2

kadha2

nominoPlural kadha

Kidini
 • 1

  Kidini
  sala inayosaliwa au saumu inayofungwa baada ya wakati wake kupita.

  ‘Saumu ya kadha’
  ‘Sala ya kadha’

Asili

Kar

Matamshi

kadha

/kaDa/