Ufafanuzi wa kadhibisha katika Kiswahili

kadhibisha

kitenzi elekezi

  • 1

    thibitisha kuwa jambo fulani si la kweli.

    kanusha

Asili

Kar

Matamshi

kadhibisha

/kaDibiʃa/