Ufafanuzi wa kadimisha katika Kiswahili

kadimisha

kitenzi elekezi

  • 1

    peleka mbele.

    tanguliza

Asili

Kar

Matamshi

kadimisha

/kadimiʃa/