Ufafanuzi wa kadinali katika Kiswahili

kadinali

nominoPlural makadinali

Kidini
  • 1

    Kidini
    kiongozi mwandamizi wa Kanisa Katoliki ambaye pia ni mjumbe katika baraza la kumteua na kumshauri Baba Mtakatifu.

Asili

Kng

Matamshi

kadinali

/kadinali/