Ufafanuzi wa kafara katika Kiswahili

kafara

nominoPlural kafara

  • 1

    kitu chochote kinachotolewa kuwa ni sadaka kwa Mwenyezi Mungu au kwa mizimu ili kuepuka balaa, madhara na maafa.

    ‘Toa kafara’
    ‘Chinja kafara’
    tambiko, dhabihu, sadaka

Asili

Kar

Matamshi

kafara

/kafara/