Ufafanuzi wa kafeteria katika Kiswahili
kafeteria
nominoPlural kafeteria
- 1
mkahawa, agh. wa shuleni, chuoni au kiwandani, ambapo walaji hujihudumia wenyewe kwa kuweka chakula kwenye sinia au trei.
‘Wanafunzi wanapenda kununua chakula kwenye kafeteria ya chuo hicho’
Asili
Kng