Ufafanuzi wa kafila katika Kiswahili

kafila

nominoPlural kafila

  • 1

    msafara wa watu au wanyama waliochukua mizigo.

    charo

Asili

Kar

Matamshi

kafila

/kafila/