Ufafanuzi wa kaftani katika Kiswahili

kaftani

nominoPlural kaftani

  • 1

    joho la heshima ambalo baadhi ya wafalme wa nchi hutoa kuwa ni zawadi kwa mabalozi au watu wengine mashuhuri.

  • 2

    joho refu linalofanana na koti.

  • 3

    vazi refu linalovaliwa na wanawake juu ya nguo.

Asili

Kar

Matamshi

kaftani

/kaftani/