Ufafanuzi wa kafukia katika Kiswahili

kafukia

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    piga kelele au mayowe.

    ‘Mwenye duka alipovamiwa na wezi alikafukia ili kuomba msaada’

Matamshi

kafukia

/kafukija/