Ufafanuzi wa kafuri katika Kiswahili

kafuri

nomino

  • 1

    dawa yenye harufu kali inayopatikana katika utomvu wa mti fulani.

    karafuumaiti

Asili

Kar

Matamshi

kafuri

/kafuri/