Ufafanuzi wa kahafi katika Kiswahili

kahafi

nomino

  • 1

    sehemu ya juu ya kofia; paa la kofia.

Asili

Kar

Matamshi

kahafi

/kahafi/