Ufafanuzi msingi wa kahari katika Kiswahili

: Kahari1kahari2

Kahari1

nomino

 • 1

  Kidini
  jina mojawapo la Mwenyezi Mungu.

 • 2

  Mwenye nguvu.

Asili

Kar

Matamshi

Kahari

/kahari/

Ufafanuzi msingi wa kahari katika Kiswahili

: Kahari1kahari2

kahari2

nomino

 • 1

  utumiaji nguvu; ulazimishaji.

Matamshi

kahari

/kahari/