Ufafanuzi wa kahawa katika Kiswahili

kahawa

nomino

  • 1

    tunda au mbegu ya mbuni.

  • 2

    unga wa mbegu za buni zilizokaangwa.

  • 3

    kinywaji kinachotengenezwa kwa unga wa buni na maji.

Asili

Kar

Matamshi

kahawa

/kahawa/