Ufafanuzi wa kahiri katika Kiswahili

kahiri

kitenzi elekezi

  • 1

    shurutisha kwa nguvu.

    ‘Alinikahiri nifanye jambo nisiloliweza’
    lazimisha

Asili

Kar

Matamshi

kahiri

/kahiri/