Ufafanuzi wa kaimati katika Kiswahili

kaimati

nominoPlural kaimati

  • 1

    andazi dogo la duara linalochovywa kwenye shira.

Matamshi

kaimati

/kajimati/